Sunday, January 5, 2014

BREAKING NEWS::: BOTI YA KILIMANJARO 2 YANUSURIKA KUZAMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema boti ya Kilimanjaro 2 iliyokuwa ikitoka Pemba kuelekea Ugunja inasemekana imepingwa na dhoruba kali na kunusurika kuzama, inadaiwa kuna vifo vimetokea.

Source: Clouds fm breaking news.

No comments:

Post a Comment