Translate

Monday, March 25, 2013

JACKY PENTEZEL ABADILI DINI NA KUOLEWA


Katika Hali ya Kushtusha na Kufuraisha....Staa wa Bongo Movie Jack Pentezel
Amewashtusha wengi baada ya Kuamua kubadili dini kuwa Muislamu kisha
kuolewa na Mpenzi wake wa Muda Gadner Dibibi....wadau wengi na wapenzi
wa Bongo Movie wamekuwa wakihoji juu ya Ndoa Hiyo iliofungwa kisiri sana
na kwa haraka,Je Ndoa Hiyo Itadumu? Je ni kweli wamehamua kukaa kwenye
Maadili ya Ndoa..? au Ni kama Mchezo wa Mjini kubadilishana Dini na kuoana
mwishowe ni kuachana....Tusubiri Tuone.....

Baraka Tele,Amani na Upendo utawale kwenye Maisha yao ya Ndoa..



No comments: