Translate

Monday, March 25, 2013

EXCLUSIVE: KAJALA KATOKA KWA FAINI YA MILLIONI 13

Baada ya Mahakama Kumuhukumu Kajala kwenda Jela Miaka Minane ama faini ya Shiling Milion 13, Baada ya hukumu hiyo Msanii mwenzake Ajulikanae kama Wema Sepetu Amekimbia Bank ili kutoa hizo hela za kumlipia Fine Kajali aweze kuachiwa Huru ..Big Wema Sepetu ...

No comments: